loader
BREAKING: Facebook, Instagram, WhatsApp zapata hitilafu

BREAKING: Facebook, Instagram, WhatsApp zapata hitilafu

Kampuni ya mtandao wa Facebook, imethibitisha kuwa, mitandao ya Facebook, Instagram na WhatsApp ilipata hitilafu na kufanya baadhi ya watumiaji duniani kote  kushindwa kupata huduma.

“Tunafahamu baadhi ya watu wanakosa huduma ya bidhaa zetu, tunalifanyia kazi suala hilo na tutarejesha huduma haraka iwezekananyo, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza,” wamesema Facebook kwenye Twitter.

 

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/13b923fb3ece982bdc7cb7348dda57c1.jpg

KAMPUNI ya Qnet imezindua ...

foto
Mwandishi: Na Rahimu Fadhili

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi