loader
Dstv Habarileo  Mobile
Stars kuelekea Benin

Stars kuelekea Benin

Timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoka nchini leo kuelekea Benin kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022.

Katika kuhakikisha Stars inashinda mchezo huo Shirikisho la soka nchini TFF,  limekodi Ndege aina ya Air Bus kwa ajili ya kuwahi mchezo huo ambao utapigwa  Oktoba 10  2021.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Benjamini Mkapa Dar es Salaam Benin iliibuka na ushindi wa bao 1-0 na kuwfanikiwa kuongoza kundi J kwa kufikisha pointi 7 huku Tanzania ikishuka mpaka nafasi ya tatu.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/3fb39b41095bf548fcecb9dde9b4e646.jpg

TIMU ya Taifa ya Soka la Watu wenye ...

foto
Mwandishi: Mohamed Akida

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi