loader
Dstv Habarileo  Mobile
'Try again' adai maandalizi yako poa kuelekea CAF

'Try again' adai maandalizi yako poa kuelekea CAF

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Salim Abdullah 'Try Again' amesema anaridhkshwa na maandalizi ya timu yake kuelekea mchezaji waraundi ya kwanza wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Kiongozi huyo amekutana na kiongozi wa benchi la ufundi Didier Gomes,  na kumwahakikishia kwamba msimu huu timu hiyo itafanya vizuri kwenye michuano hiyo na kuvuka malengo ambayo wamejiwekea. 

"Nafurahi kuona kocha anaimani kubwa kuelekea kwenye mchezo huo matumaini yangu ni kuiona Simba inafanya vizuri kwenye mataji yote ya ndani na nje ya  nchi,".

Kiongozi huyo amesema yeye na viongozi wenzake watahakikisha wanampatila kocha wao kila anachotaka ili kuhalikisha malengo yao yanatimia,".amesema. 

Simba itapambana na Jwaneng Galaxy ya Botswana huo ukiwa ni mchezo wa raundi ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/134513060067e1143fb3f958ab665d32.jpg

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa ...

foto
Mwandishi: Mohamed Akida

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi