loader
Waziri wa kwanza mmarekani mweusi afariki

Waziri wa kwanza mmarekani mweusi afariki

Aliyekuwa Waziri wa Masuala ya Kigeni nchini Marekani, Colin Powell amefariki dunia leo kutokana na tatizo la ugonjwa wa virusi vya corona.
Kiongozi huyo wa zamani wa jeshi mwenye umri wa miaka 84 aliwahi kupewa chanjo dhidi ya virusi hivyo.

"Jenerali Colin L. Powell, U.S. amekufa leo asubuhi kutokana na Covid 19. Alipewa chanjo kamili, "familia yake ilisema katika taarifa ilyochapishwa Facebook.

"Tunataka kuwashukuru wafanyakazi wa matibabu katika Kituo cha Kitaifa cha Matibabu cha Walter Reed kwa matibabu yao."Tumepoteza mume wa ajabu na mwenye upendo, baba, babu na Mmarekani mzuri." Colin Powell alikua Mmarekani wa kwanza mweusi kuwa waziri wa Kigeni.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/9149c48ce46adc4e2be74e61db118151.jpg

KAMPUNI ya Qnet imezindua ...

foto
Mwandishi: CALIFORNIA, Marekani

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi