loader
Jamii yatakiwa kuendelea kuchukua taadhari ya Corona

Jamii yatakiwa kuendelea kuchukua taadhari ya Corona

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika Dk Dikson Chilongani, ameitaka jamii kuendelea kuchukua taadhari ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona

Dk Chilongani amesema bado ugonjwa hupo na unaua hivyo ni jukumu la kila mtanzania kuchukua hatua za kujikinga na ugonjwa huo kwa wakati wake kwa kuwa umekuwa ukipoteza watu na nguvu kazi ya taifa.

Alisema hakuna sababu yoyote ya kupuuzia ugonjwa huo kwa kuwa bado upo na unaleta madhara ya kupoteza nguvu kazi ndani ya Taifa.

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi