loader
Serikali, Agota kujadili huduma za kibingwa

Serikali, Agota kujadili huduma za kibingwa

SERIKALI imekitaka Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Watoto (AGOTA) kuishauri njia bora itakayofanikisha kupeleka madaktari bingwa wa wanawake na watoto kufanya kazi maeneo ya vijijini.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima, ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa AGOTA.

Dk Gwajima, alisema bado kuna uhitaji wa wataalamu wa tiba ili kuboresha huduma za tiba hivyo akatoa mwito kwa madaktari wabobezi waliopo nje ya nchi warudi nyumbani kusaidia huduma za kibingwa.

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi