loader
Dstv Habarileo  Mobile
Majaliwa: Rais Samia anatoa haki kwa vitendo

Majaliwa: Rais Samia anatoa haki kwa vitendo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Rais Samia Suluhu, tangu aingie madarakani ameonyesha kwa vitendo kwa kutoa haki bila kuzingatia tofauti ya dini, ukabila, ili waja wote wajaliwe furaha

Majaliwa ameyasema hayo katika Baraza la Maulid Kitaifa, Uwanja wa Kaitaba, Kagera na kuwataka waumini wa dini zote kuendelea kumuunga mkono Rais Samia ambaye amejipambanua kusimamia haki, umoja na mshikamno

“Dua zetu kwake ni muhimu ili kuifikisha nchi kwenye matumaini na kulifanya Taifa kuwa salama zaidi,” amesema Majaliwa na kuongeza

 “Maisha ya Mtume yalileta nuru, yalileta ubora, katika jamii walioishi katika mazingira ya dhuluma, unyonge na ukandamizaji, dua zetu kwake ni muhimu ili kuifikisha nchi kwenye matumaini na kulifanya Taifa kuwa salama zaidi,” amesisitiza

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi