loader
Rais Samia: BMT, TFF tengenezeni makocha

Rais Samia: BMT, TFF tengenezeni makocha

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameliagiza Baraza la Michezo (BMT) na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuangalia uwezekano wa kuibua makocha wengi zaidi kwa ajili ya kuzisaidia timu za Taifa na hatimaye kuleta mafanikio.

Rais Samia ametoa agizo hilo leo wakati akizungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ Ikulu ya Dar es Salaam, ambapo pia wachezaji hao na benchi la ufundi walipata nafasi ya kula chakula cha mchana na Rais Samia.

“Rai yangu kwa TFF na BMT angalieni namna ya kuibua makocha zaidi, tengenezeni makocha wengine kama Bakari, tengenezeni makocha zaidi,”Rais Samia.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/73dd0ec621801103decfc1856247f5fe.jpg

TAASISI ya Mama Ongea ...

foto
Mwandishi: Na Rahimu Fadhili

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi