loader
Steven Gerrard: 'Mpunga' atakaovuta kocha mpya wa Villa  hadharani

Steven Gerrard: 'Mpunga' atakaovuta kocha mpya wa Villa hadharani

 Suala si Steven Gerrard kuwa kocha mkuu wa Aston Villa bali ni atavuna nini kwa mwaka?

Baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kama Kocha Mkuu wa Villa, imefahamika kuwa  nyota hiyo wa zamani wa Liverpool, atavuma kiasi cha Paundi milioni tano kama malipo ya kibarua chake kipya.

Pesa hizo zinamfanya Gerrard kuwa kocha anayelipwa zaidi katika historia ya makocha wa klabu hiyo.

Baada ya miaka sita kuondoka England kama mchezaji wa Liverpool, Gerrard anarejea tena kama kocha mkuu wa Aston Villa, akichukua nafasi ya Dean Smith ambaye aliondolewa siku nne zilizopota kutokana na matokeo mabovu

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/b6e681f0014784cd8d7ffb7f8da7a72b.jpg

PENALTI ya dakika za majeruhi iliyopigwa na mshambuliaji ...

foto
Mwandishi: LONDON, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi