loader
Ndege ya F-35 ya Uingereza yaanguka

Ndege ya F-35 ya Uingereza yaanguka

Ndege ya kivita ya Uingereza (F-35), imeanguka katika Bahari ya Mediterania  wakati wa operesheni katika bahari hiyo.

Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), imeeleza kuwa tukio hilo lilitokea saa 10:00 (GMT),  juu ya maji ya kimataifa na hakuna ndege nyingine iliyohusika.

Aidha, ripoti hiyo imeeleza kuwa Waziri wa Ulinzi nchini Uingereza, Ben Wallace, alisema ndege hiyo ilishuka mara baada ya kupaa.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/cb760bcebc9509647bf927017e13e5b2.jpeg

UGANDA imekubali kuongeza maradufu idadi ya ...

foto
Mwandishi: bB

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi