loader
Milioni 300 zijumuishe barabara za lami – Majaliwa

Milioni 300 zijumuishe barabara za lami – Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Sh bilioni 300 zilizotolewa na Rais Samia kuendeleza ujenzi wa Mji wa Serikali wa Mtumba katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma zinajumuisha ujenzi wa barabara za lami.

Akizungumzia leo Disemba 2, 2021, katika Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Ujenzi wa Mji wa Serikali, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa fedha za awamu ya pili ujenzi wa mji huo ilishatolewa na utaratibu wa kila wizara umeshaandaliwa.

“Tumeona sasa turasimishe rasmi kwa kuweka jiwe la msingi la pamoja la kuzindua ujenzi wa Ofisi za Serikali,” amesema Majaliwa. 

Aidha, Waziri Mkuu amesema kuwa uzinduzi huo ni mafanikio makubwa tangu Taifa lipate Uhuru.

Akizungumzia maendeleo ya barabara, Mtendaji Mkuu wa TARURA, Mhandisi Victor Seif amesema ujenzi wa ujenzi wa mtandao wa barabara 

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/e9be1216170720da86e38dc1809081b1.jpg

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, ...

foto
Mwandishi: Na Rahimu Fadhili

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi