loader
Mambo kumi hotuba ya Samia Tanzania ikifikisha 60

Mambo kumi hotuba ya Samia Tanzania ikifikisha 60

RAIS Samia Suluhu Hassan amehutubia taifa kwa mara ya kwanza kwa njia ya televisheni tangu aingie madarakani kama rais wa awamu ya sita, muda muchache kabla taifa la Tanzania kusherehekea kumbukumbu ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Yafuatayo ni Mambo kumi yaliyojitoza katika hotuba yake.

  1. Tanzania bado ni taifa lenye amani, mshikamano na umoja.

  2. Wengi wa waasisi wa taifa 17 wametangulia mbele za haki.

  3. Kusingekuwa na Tanzania ya leo bila Uhuru wa Tanzania Bara na badaye Tanzania Zanzibar

  4. Kiswahili ni Utambulisho wa Taifa.

  5. Asilimia 4.3 ya watanzania ama milioni 2.5 ndio waliokuwa wamezaliwa Tanzania Bara ilipopata Uhuru.

  6. Mipaka ya Nchi bado iko salama na hakuna hata centimeta moja iliyopotea.

  7. Serikali imeboresha miundombinu na upatikanaji wa huduma za kijamii kama elimu, umeme, maji, na afya.

  8.  Vyombo vya Habari vimeendelea kuwa Huru na vimeongezeka

  9. Taifa limefikia malengo ya maendeleo 2025 kabla ya muda.

  10. Malengo ni kukuza uchumi kwa asilimia 8.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/b01e4b98715a090fb015ac8ad2c61788.jpg

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi