loader
Mobetto awashukuru mashabiki wake

Mobetto awashukuru mashabiki wake

MSANII na mwanamitindo Hamisa Mobetto amewashukuru mashabiki na wadau mbalimbali wanavyomsapoti baada ya kutangazwa kuwa balozi wa taulo za kike za HQ.

Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa balozi wa taulo hizo, Mobetto alisema anawashukuru mashabiki wanaomuunga mkono kwani wanasaidia kupata ubalozi wa bidhaa mbalimbali.

“Napenda kuwashukuru mashabiki wangu na wadau mbalimbali nawajulisha nimekuwa balozi wa taulo za kike ziitwazo HQ, zitakuwa zinapatikana 10 na sio tena nane kama watu waliovyozoea,” alisema Mobetto.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/68cec3b35f0e4e4f89cecc630ff1fbdf.jpeg

TAASISI ya Mama Ongea ...

foto
Mwandishi: Rahel Pallangyo

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi