loader
Siku ya  Kiswahili Julai

Siku ya Kiswahili Julai

WAZIRI  wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed  Mchengerwa  amesema Wizara yake itashirikiana na wadau mbalimbali kukuza lugha ya kiswahili ili kukikuza na kufika nchi mbalimbali duniani.

Mchengerwa  ameyasema hayo leo katika hafla fupi ya tuzo za Kiswahili iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo amewaeleza wadau  wa lugha  hiyo kuhakikisha wanaisherekea  kwa namna ya pekee siku ya kiswahili ya Julai 7 mwaka huu  ili kuthibitishia dunia kuwa  Tanzania ndiyo chimbuko la lugha hiyo.

Katika  halfa hiyo,   Mchengerwa alitumia nafasi hiyo kumtakia heri ya kuzaliwa Rais  Samia Suluhu  kwa wimbo wa kiswahili wa heri ya kuzaliwa ulioongwazwa na jaji mkuu wa tuzo hizo Profesa  Aldin Mutembei kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salam.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/e45f0c48b1f71a9b4d049f1f7b06458a.jpg

MKUU wa Mkoa wa Mara, Ally ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi