WIZARA ya ulinzi ya Urusi, imesema wanajeshi wake waliharibu akiba kubwa ya vifaa vya kijeshi kutoka Marekani na nchi za Ulaya karibu na kituo cha reli cha Bohodukhiv eneo la Kharkiv nchini Ukraine.
Wizara hiyo ilisema ilipiga vituo 18 vya kijeshi vya Ukraine usiku kucha, zikiwemo ghala tatu za risasi huko Dachne, karibu na mji wa bandari wa Odesa.
1 Comments
Saguda
MUNGU anusuru roho zinazoathiriwa na vita hii kwan vita hiv visipopata suluhisho madhara ni kwa ulimwengu wote