loader
Kikwete asaini kitabu cha maombolezo UAE

Kikwete asaini kitabu cha maombolezo UAE

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) jijini Dar es Salaam leo Mei 17, 2022, kufuatia kifo cha hayati Sheikh Khalifa Bin Zayed Al Nahyan, Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu.

Rais wa UAE, Sheikh Khalifa Bin Zayed Al-Nahyan alifariki dunia Mei 13 mwaka huu akiwa na umri wa miaka 73 baada ya kuugua kwa muda.

 

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi