loader
Viingilio Yanga v Simba Mwanza vyatajwa

Viingilio Yanga v Simba Mwanza vyatajwa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio vya mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga na Simba Jumamosi Mei 28, 2022 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF iliyotolewa leo, kiingilio cha chini kitakuwa Sh. 10,000 kwa eneo la mzunguko, wakati VIP B ni Sh. 20,000 na VIP A Sh.30,000.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/9964d62f993c7592655cc762014bbf82.jpg

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wachezaji ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi