loader
Tanzaia yashiriki mkutano Shirika la Wakimbizi

Tanzaia yashiriki mkutano Shirika la Wakimbizi

Tanzania imehudhuria mkutano wa 84 wa Shirika la  Wakimbizi Duniani (Standing Commitee of the Executive Committee of the High Commissioner’s Programme) unaoendelea huko Geneva.

Tanzania ni moja ya nchi Barani Afrika inayohifadhi wakimbizi.

 Hotuba hiyo imewasilishwa na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Geneva Balozi Hoyce Temu kwa niaba ya Serikali ya Tanzania.

 

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/37b440e8054074173f17664b743b3d45.jpg

WAFANYABISHARA mbalimbali wa Temeke, ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi