Mmoja kati ya vijana sita, wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka - 2022, Lodrick Ndyamukama aliyetokea mkoani Mwanza, lakini mzaliwa wa Wilaya ya Muleba, Kijiji cha Kagoma mkoani Kagera, akichumpa kutoka upande wa Wilaya ya Serengeti kwenda Wilaya ta Tarime wakati wakikimbiza Mwenge mkoani Mara jana.