loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Bububu, Mji Mkongwe, Chakwa zatamba Majimbo

Timu hizo zilishuka kwenye viwanja tofauti ambapo Mji Mkongwe iliyoshuka kwenye Uwanja wa Mao Tse Tung ililifunga Rahaleo mabao 3-2 wakati Bububu ilifunga Dole bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan Nje.

Kwa upande wa Chwaka, ilishinda bao 1-0 dhidi ya timu ya Kitope katika mchezo wake waliocheza kwenye Uwanja wa Dunga Wilaya ya Kati Unguja.

Mji Mkongwe katika mchezo huo, mabao yake yalifungwa na Ismail Kassim wakati mabao ya Rahaleo yalifungwa na Nassor Bachu na Mohammed Abdalla.

MWISHO wa ngebe ni leo baada ya dakika ...

foto
Mwandishi: Mwajuma Juma, Zanzibar

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi