loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Kesi ya Pistorius kutorushwa tena ‘live’

Pia waendesha mashitaka wamemlaumu Pistorius kwa kosa la kusema uongo akiwa katika Mahakama.

Awali, kesi ya mwanariadha huyo anayetuhumiwa kumuua mpenzi wake, Reeva Steenkamp, ilikuwa ikioneshwa moja kwa moja kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hiyo.

Amekuwa akisema mara kwa mara kuwa alichukua uamuzi wa kuua kwa sababu alikuwa hajui kuwa mwanamke huyo alikuwa ni mpenziwe ila alikuwa akidhani ni mvamizi nyumbani kwake.

Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Gerrie Nel alifunga jalada kwa upande wa mashitaka na kutoa mwanya wa kuanza kwa hatua nyingine ya kesi hiyo.

Tukio hilo la mauaji lilitokea Februari 14, mwaka jana nyumbani kwa Pistorius.

Kutokana na kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo hatua ya kuoneshwa kwa kesi hiyo moja kwa moja kwenye luninga inafungwa.

MWISHO wa ngebe ni leo baada ya dakika ...

foto
Mwandishi: JOHANNESBURG, Afrika Kusini

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi