loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Magazeti FC yang’ara Kombe la Meya

Kwa mujibu wa mujibu wa Msemaji wa Magazeti FC, Cornelly Masatu, mabao ya timu hiyo yalifungwa na Dickson Ambundo katika dakika ya 30 na Salmin Shehoza katika dakika ya 63.

Mabao mengine mawili yalifungwa katika dakika za 70 na 83, yakipachikwa wavuni na Jamal Soud. Bao la kufutia machozi la Buhongwa lilifungwa na John James katika dakika ya 87, akitokea benchi kuchukua nafgsi ya Claus Bryson.

Kikosi cha Magazeti FC kilikuwa na Muhsin Khalid, Epafra George, Sunday Justin/Hadji Issa, Frank Muhenga, Mfaume Rashid, Juma Nyangi, Mahalu Hamisi, Madinda Mauche, Soud, Shehoza na Ambundo.

MWISHO wa ngebe ni leo baada ya dakika ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi