loader
Mtoto afa kwenye sufuria ya chai

Mtoto afa kwenye sufuria ya chai

Kifo hicho kilitokea jana asubuhi katika kijiji cha Kibara B, wilayani Bunda. Mwenyekiti wa kijiji hicho, Mafwili Munyaga, alisema mtoto huyo alitumbukia kwenye sufuria baada ya mama yake mzazi kumuacha na kuingia ndani ya nyumba.

Munyaga alisema baada ya kutumbukia, mama yake alisikia kelele za mtoto huyo.

Kwa kushirikiana na majirani, walimkimbiza katika Hospitali ya Misheni Kibara, lakini muda mfupi akapoteza maisha.

Mwenyekiti huyo wa Kijiji ametaka wazazi kuwa makini na watoto wao hususani kwenye mazingira hatarishi kwa usalama.

MKUU wa Mkoa wa Mara, Ally ...

foto
Mwandishi: Ahmed Makongo, Bunda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi