loader
Soko la Agoa halijatumika vizuri

Soko la Agoa halijatumika vizuri

Hali hiyo inatokana na kushindwa kukidhi viwango vya uzalishaji na ubora wa bidhaa zao katika soko.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia, alisema hayo jana baada ya kukagua taasisi mbalimbali za umma na binafsi, zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

Alisema hali hiyo imesababisha wajasiriamali na wafanyabiashara hao, kushindwa kutumia soko hilo la Marekani wakati wa kuuza bidhaa zao, kutokana na bidhaa zinazohitajika katika soko hilo kukosa viwango na ubora.

Bilia alisema kuwa viwango vya ubora kati ya Tanzania na Amerika ni tofauti, kwa hiyo kunahitaji jitihada za hali ya juu ili kutumia fursa ya soko hilo.

Alisema kuna umuhimu kukuza soko la pamoja kati ya Afrika Mashariki na Afrika, kwani mazingira yanafanana na ni rahisi kutumia vyema fursa hiyo.

MGODI wa kati wa madini ya dhahabu ...

foto
Mwandishi: Kennedy Kisula, Lindi

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi