loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPBC kufanya mkutano wa Katiba

TPBC kufanya mkutano wa Katiba

Kwa mujibu wa Rais wa TPBC, Chaurembo Palasa, wanachama wake wanaotakiwa kuhudhuria ni pamoja na mabondia, madaktari, waamuzi, makocha, madaktari na majaji.

“Mkutano utafanyika Agosti 3, mwaka huu kwenye Ukumbi wa DDC kuanzia saa nne asubuhi,” alisema.

Katika hatua nyingine, TPBC iliendesha mafunzo ya siku tatu ya majaji na waamuzi yaliyomalizika juzi na kushirikisha washiriki 10.

Waliohitimu mafunzo hayo ni Hamis Kimanga, Chuku Ausso, Ayoub Kaita, Buchato Ndana, Chaurembo Palasa, Rajabu Mlowe, Kondo Mbegu, Rajab Mhamila, Husen Mloko na Pembe Pembe.

YANGA leo saa 1:00 usiku itashuka dimbani kuikabili ...

foto
Mwandishi: Grace Mkojera

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi