HOTUBA

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Shirikisho la Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCO) jijini Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu)