CHUPA - UDONGO

Mwalimu wa ujenzi wa nyumba wa Chuo cha VETA Mikumi, Ladislaus Kalatunga akiwaonesha wanafunzi wa chuo hicho chupa iliyowekwa udongo na maji ili kutambua njia rahisi ya udongo unaofaa kwa ajili ya utengenezaji wa tofali aina ya mifungamano wakati wa maonesho ya kazi za ufundi zinazofanywa na wanafunzi wa kozi mbalimbali katika chuo hicho juzi. (Picha na John Nditi).