WAGENI

Sehemu ya watu saba mashuhuri kutoka China wakiwemo waigizaji na watangazaji wa televisheni wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kutengeneza filamu na vipindi katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo ya vivutio. Kutoka kushoto ni nyota wa filamu nchini humo, Tian Liao, Yen Zheng, Hao Shao Wen na Mtangazaji wa televisheni Du Hai Tao (kulia). (Picha na Fadhili Akida)