KAZI INAENDELEA

Shughuli za kibinadamu zikiendelea kama kawaida katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam ambalo hukumbwa na mafuriko mara kwa mara. (Picha na Fadhili Akida).