KUUNDA GARI

Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi wakiwa katika hekaheka za kuunganisha mfano wa gari, wakielekezwa na kompyuta kwenye uzinduzi wa Wiki ya Sayansi Afrika Tanzania, iliyoandaliwa na Next Einsten (NEF) Jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).