KUMUOMBEA RAIS JOHN MAGUFULI

Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto wakiongozwa na Kiongozi wa kanisa hilo, Mchungaji Getrude Rwakatare kumuombea Rais John Magufuli katika utendaji wake uliotukuka pamoja na kuwafichua wanaoimaliza nchi kwa ufisadi kanisani hapo, Dar es Salaam.