FOLENI KULIPA KODI

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wakiwa katika foleni ya siku ya mwisho ya kulipa kodi ya majengo katika ofi si za Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) eneo la Tegeta, kando ya barabara ya Bagamoyo, Dar es Salaam jana. (Picha na Mohamed Mambo).