MAFUTA

Magari yakiwa kwenye msururu wa kuweka mafuta katika kituo kilichopo Mbezi, kando ya barabara ya Bagamoyo, Dar es Salaam, jana, kutokana na vituo vingi vya mafuta ya petroli kufungwa na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kukosa kuweka mashine za kielektroniki (EFD’s). (Picha na Mohammed Mambo).