KUKABIDHIWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wa pili kulia) akikabidhiwa moja ya kompyuta 50 zenye thamani ya Sh milion 85 na Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya TAMOBA, Joseph Kimisha. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TAMOBA, Balozi mstaafu Francis Mndolwa. (Picha na Yusuf Badi).