KUKABIDHI MAJI SAFI

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen (kushoto) akiwakabidhi katoni za maji ya kunywa Skauti wa Manispaa ya Morogoro, Martin Peter na Neema Pascal jana kwa niaba ya wenzao wakati wakijiandaa kwa safari kuelekea mkoani Dodoma katika maadhimisho ya miaka 100 tangu Uskauti uingine hapa nchini yanayotarajiwa kufanyika Julai 21 hadi 29, mwaka huu.( Picha na John Nditi).