ZAHANATI

Wananchi wa Kijiji cha Kisongo, Kata ya Lihimalyao, Tarafa ya Pande Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wakiwa nje ya jengo la zahanati lenye vyumba vya kulaza wagonjwa 15 walilolijenga kwa michango yao na kushindwa kutumika kutokana na kukosa wataalamu.