AKITOA MAELEZO

Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Chris Rupia (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala (kulia) alipotembelea mabanda ya wabia wa SAGCOT katika Maonesho ya Nanenane mkoani humo jana. Katikati ni Mratibu wa Wabia wa SAGCOT, Tullah Mloge.