MAKABIDHIANO

Naibu Balozi wa China nchini Tanzania, Gou Haodong akikabidhi vifaa mbalimbali kwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dk Jim Yonazi katika Ubalozi wa China nchini, Dar es Salaam jana. Kulia ni Kaimu Mhariri wa HabariLeo, Nicodemus Ikonko.