KUKATA UTEPE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Paul Makonda, (mwenye miwani) akikata utepe katika hafla ya kukabidhi vitendea kazi zikiwamo pikipiki 10, kompyuta 20 na baiskeli 200 kwa Kamanda Polisi wa Kanda Maalumu, Lazaro Mambosasa (kulia kwa makonda) na viongozi wengine akiwepo aliyetoa pikipiki hizo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tongba, Xue Chang, (wa pili kushoto). Makabidhiano hayo yalifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam juzi. (Picha na Yusuf Badi).