BOMOA BOMOA

Wakazi wa nyumba zilizojengwa kimakosa katika eneo lisilo rasmi la Hifadhi ya Bonde la Mto Msimbazi eneo la Jangwani wakiwa wamekaa jirani na nyumba zao zilizobomolewa baada ya kukaidi agizo la Serikali la kuwataka wahame katika eneo hilo. (Picha na Yusuf Badi).