ZIARA YA KWANZA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile akizungumza na watumishi wa idara kuu ya maendeleo ya jamii wakati alipofanya ziara yake ya kwanza Dar es Salaam jana baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo. Habari Uk 5. (Picha kwa hisani ya Wizara).