MAZUNGUMZO

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Mohammed Al-Malik aliyefika ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).