BODABODA BARABARANI BAADA YA MVUA DAR

Mwendesha bodaboda akipita na abiria katika maji yaliyojaa barabarani eneo la Kigogo Sambusa kutokana na mvua zilizonyesha Dar es Salaam jana.