WAKIFUATILIA MADA

Wanahisa wa Kampuni ya Uwekezaji ya TCCIA wakifuatilia mada katika Mkutano Mkuu wa 12 wa Mwaka uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo ulilenga kupokea na kujadili utekelezaji wa maazimio mbalimbali katika kuendeleza kampuni.