KUHUTUBIA BARAZA LA MAULID

Waumini wa dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  alipohutubia Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Likangala wilayani Ruangwa jana