SIKU KUU YA MAULID

Waumini wa dini ya Kiislamu wakimsikiliza mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi alipohutubia Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Likangala wilayani Ruangwa jana