WAKIFURAHIA JAMBO

Rais John Magufuli akifurahia jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza mazungumzo yake na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) Ikulu, Dar es Salaam jana.