ELIMU KWA WANAFUNZI KUHUSU SHUGHULI ZA BUNGE

Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge,Lawrence Makigi, akizungumza jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa elimu kwa Shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.