AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana wakati akijibu taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa hesabu za serikali zilizoishia Juni 30, 2017.

Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Selemani Jafo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe.