Tanzania ya viwanda inawezekana

MAAGIZO aliyotoa Rais John Magufuli kwa wafanyabiashara nchini yanalenga kuipeleka haraka nchi yetu katika maendeleo ya kweli ya uchumi wa viwanda. Maagizo hayo yataongeza ajira kwa Watanzania, kujiongezea kipato kwa wamiliki wa viwanda vinavyojihuisha na maeneo yaliyoainishwa tisa huku yakisaidia kukuza uchumi wa nchi.

Add a comment